>

MERIDIANBET YATOA MSAADA MBAGALA LEO

Kampuni ya Meridianbet imefanikiwa kutoa msaada leo katika eneo la Mbagala Kingugijijini Dar-es-salaam katika moja ya familia zenye uhitaji.

Huu umekua utaratibu wa miaka mingi wa mabingwa hao wa kubashiri kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii yao haswa kwenye watu wenye uhitaji, Leo wamefika kwenye familia ya mzee Yusuph Mdogwa mwenye ulemavu wa macho na kurejesha tabasamu kwenye familia hiyo.

Familia ya mzee Yusuph ambayo ina uhitaji ilipokea ugeni wa Meridianbet ambapo walifika kwake na kumpatia msaada wa mahitaji mbalimbali ya nyumbani kama Mchele, Sukari, Sabuni, na mafuta ambayo yatamsaidia mzee huyo pamoja na familia.

Bashiri michezo mbalimbali ambayo imepewa ODDS BOMBA pale Meridianbet wikiendi hii Bila kusahau kucheza michezo ya Kasino uibuke mshinde wa Mamilioni

Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Bi Nancy Ingram alipata nafasi ya kuzungumza machache katika tukio hilo “Kwanza kabisa niseme tu nimefurahi sana kuwepo eneo hilo na kukamilisha hili ambalo tumelifanya hapa kwa Mzee wetu kama taasisi tunajivunia kuendelea kurejesha kwenye jamii yetu haswa kwa wenye uhitaji”

Mzee Yusuph Mdogwa alipata nafasi ya kuzungumza na kutoa shukrani “Kiukweli kabisa nitoe shukrani zangu za dhati kwa Meeridianbet ambao wameonesha moyo wa utu kwangu kwa kunipatia msaada, Lakini ningependa kuwaomba msiishie kwangu muweze kuendelea kuwaidia wengine wenye uhitaji”

 

 

Header Image:

FACEBOOK/INSTAGRAM

Text:

Merdianbet leo imefanikiwa kufika eneo la Mbagala Kingugi na kutoa msaada kwa Familia ya mzee Yusuph mwenye ulemavu wa macho wakimpatia mahitaji mbalimbali ya nyumbani. kwa wale wa USSD na  vitochi pia, *149*10#. #meridianbettz #kasinoyamtandaoni #slotimachine #ushindimkubwa #titanroulette  # oddskubwa