WIKENDI YA MAOKOTO MECHI ZA LEO KAZI KWAKO, SOMA HAPA

Huenda leo hii ikawa bahati yako kwa kubashiri na Meridianbet kwani hapa kila kitu unachokitaka kipo. Ukitaka machaguo zaidi ya 1000 yapo, odds za kibabe pia zipo. Ingia www.meridianbet.co.tz na uske jamvi lako hapa. Tunaanza kuangazia Everton ambao watakua ugenini kupepetana dhidi ya Salford City ambao wanakipiga Uingereza League 2 huku wakimaliza msimu wakiwa kwenye…

Read More

GAMONDI: TUNAITANGAZA YANGA DUNIANI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amebainisha kuwa uwepo wao Afrika Kusini una faida kubwa kutokana na kucheza mechi za ushindani ambazo ni muhimu kuelekea msimu mpya huku wakiitangaza timu hiyo duniani kote. Gamondi aliongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuinoa Yanga yenye maskani yake Jangwani, Kariakoo inatarajiwa kurejea Bongo ikikamilisha mchezo dhidi ya Kaizer…

Read More

UBAYA UBWELA SIMBA YATAMBA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa itakuwa ni ubaya ubwela Agosti 3 2024 kutokana na mpango kazi uliopo ndani ya timu kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Simba Day linalotarajiwa kuwa na mwendelezo wa mvuto Uwanja wa Mkapa. Tayari Simba wamezindua uzi mpya wa msimu wa 2024/24 ilikuwa ni Julai 24 Morogoro na Sandaland anahusika…

Read More

YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA KHALID AUCHO

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa ulitamani kiungo Khalid Aucho angekuwa kwenye orodha ya wanaowania tuzo ya kiungo bora kutokana na kazi yake anayofanya ndani ya uwanja kitaifa na kimataifa. Ipo wazi kwamba Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 walimaliza wakiwa na pointi 80 baada ya…

Read More

Kuna Milioni 2 Zinakusubiri Kwenye Kasino

Meridianbet kuna Milioni 2 ziko nje tu! Cheza shindano la Expanse Kasino ujishindie Mgao wa pesa hizo. Jisajili na Meridianbet kwa ushidi mkubwa sana NA Bonasi ya Ukaribisho ya Tsh 3,000,000/= Mwisho wa promosheni ya Shindano la Expanse Kasino washindi 40, watagawiwa bonasi za kasino na pesa taslimu kwenye kaunti zao za Meridianbet. ZAWADI ZIKOJE?…

Read More