>

DIAMOND PLATNUMZ X JASON DERULO FT KHALIL HARISSON & CHLEY – KOMASAVA REMIX (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Baada ya Diamond Kuchafua Hali ya Hewa huko Youtube, kwa saa chache na kumtoa marioo na wimbo wake wa #HakunaMatata Marioo ameibuka na kilio chenye kicheko ndani yake…!”Braza anakabia kwa juu🫣🙌.
Ila #HakunaMatata na nashukuru tunavyo push mziki wetu uende, Komasava.”