>

NAFASI ZA KAZI 11,015 UALIMU, MWISHO WA KUTUMA MAOMBI AGOSTI 2, 2024

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 11,015 kama ilivyoainishwa; Kutazama nafasi zote zilizotangazwa Bonyeza hapa TANGAZO LA KAZI LA UALIMU

Kutazama nafasi zote zilizotangazwa Bonyeza hapa TANGAZO LA KAZI LA UALIMU