
KAMPUNI YA MICHEZO BETWINNER YAZINDULIWA TANZANIA
KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya Betwinner imezinduliwa rasmi nchini Tanzania, ikileta fursa mpya na za kipekee kwa wateja wa michezo ya kubahatisha. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi, Mkurugenzi Mkuu wa Betwinner, Jesse Ndambala, amesema kuwa ujio wao umelenga kuwapa wateja Odds nzuri zaidi kulinganisha na kampuni nyingine za kubashiri. Ndambala amesisitiza kuwa Bet Winner…