
KIPA NAMBA MOJA SINGIDA BLACK STARS HUYU HAPA
KIPA wa mpira Mohammed Kamara anatarajia kuwasili nchini leo Julai 10 2024 kwa ajili ya kukamilisha dili la kujiunga na Klabu ya Singida Black Stars ambayo inashiriki Ligi Kuu Bara. Mbali na kushiriki Ligi Kuu Bara Singida inashiriki mashindano ya Kagame na Julai 9 2024 ilikuwa uwanjani kusaka ushindi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam…