EX-WIFE wa Q CHIEF ASIMULIA ALIVYOTOA MIL 100 KUMSAIDIA ASITUMIE ‘UNGA’ – WALIVYOACHANA…

Mwanamama ambaye huko nyuma alikuwa akifanya kazi mbalimbali za kiburudani za kuwapeleka wasanii mbalimbali wa hapa nchini kufanya show nje ya nchi @ukhtydidas na aliyekuwa mke wa msanii wa Bongo Fleva, Q Chief amefunguka mambo mbalimbali aliyoyapitia kwenye maisha yake ikiwemo ishu ya kunyan’ganywa watoto wake na wazungu na kukaa nao mbali zaidi ya miaka kumi na mbili.

Dida ambaye sasa hivi amekuwa akiwaelimisha watu kuhusu elimu ya dini ya Kiislamu na vitu mbalimbali, amefunguka vitu vingi sana ikiwemo na kufungua duka lake la nguo za kistara na kistaarabu