CHEZA KASINO SLOTI YA CRAZY TIME UPIGE MAMILIONI

Sloti ya Crazy Time

Ongeza mzuka wa utajiri kupitia sloti ya Crazy Time, moja kati ya mchezo wa kasino ya mtandaoni unaofanya poa sana, washindi wanapatikana kila siku tena kirahisi kabisa, Jisajili Meridianbet kasino uzungushe gurudumu la ushindi.

Crazy Time ni mchezo wa kipekee kutoka studio za Evolution Gaming. Mchezo huu una dhamira ya kukamilisha ndoto ambazo hudakwa na kinasa ndoto (Dream Catcher). Usisubiri kusimuliwa kwasababu, mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet utakupa furaha maradufu katika kila mzunguko.

Sloti ya Crazy Time kama kawaida ya michezo mingi ya slots una bonasi 4 za kukata na shoka. Unaweza kurudishiwa dau lako hadi mara 25000 bila kusahau chaguo la RNG yaani (Random Number Generation) pamoja na Gurudumu la Bahati (Wheel of fortune) litakalokupa fursa ya kushinda zawadi nyingine nyingi zaidi. Chizika leo na Meridianbet na ushinde kwa kubofya hapa.

Unachezaje Sloti ya Crazy Time?

Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni huchezwa kwenye Gurudumu la bahati ambalo lina sehemu 54, kila sehemu inakuwa na ongezeko la dau kwa namna tofauti tofauti.

Unatakiwa kubashiri wapi gurudumu hili litasimama, kisha, weka dau lako hapo. Tumia namba 1, 2, 3, 5, 10 kwenye mchezo mkuu au tumia uwanja wa bashiri za bonasi. Maeneo ya kushinda bonasi za kasino zinazohusiana na michezo ni Cash Hunt, Pachinko, Coin Flip pamoja na Crazy Time.

Cash Hunt ni mkusanyiko wa picha ambazo zinahusisha skrini kubwa yenye mazidisho 108 yasiyo na mpangilo maalumu. Coin Flip ni mchezo unaohusisha uchaguaji wa “Kichwa au mwenge” ambapo shilingi yenye rangi mbili – Nyekundu na Bluu, itakupa fursa ya kuchagua upande gani shilingi hiyo inaangukia huku kwenye skirini kubwa pakioneshwa thamani hiyo.

Pachinko ni mchezo wa bonasi ambao unahusisha ukuta wa mazidisho ya thamani ya dau lako. Ina aina 16 za mazidisho ambayo hayo yote yapo kwa ajili ya kukupa faida.

Na mwisho ni Crazy Time yenyewe, mchezo huu wa bonasi ya kasino unamuhitaji mchezaji kufungua mlango mwekundu na kuingia kwenye ulimwengu wa kufikirika wa kuchizika.

Kwenye ulimwengu huo, utakutana na zawadi kede kede ikiwemo pesa za papo hapo. Crazy Time ina sehemu 64, pindi Gurudumu linapozungushwa unatakiwa kuboyeza kitufe chekundu ili kilisimamishe.

Kikubwa zaidi, unaweza kujishindia hadi mara 25000 ya dau uliloliweka kupitia bonasi ya Crazy Time.  Chizika na kasino ya mtandaoni ya Merianbet na ushinde!!

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti ya meridianbet.