Skip to content
Friday, August 14, 2026
  • Rangers Dhidi Ya Jagiellonia Białystok Kukipiga Mchezo Wa Kufuzu Europa League
  • Yanga, Simba, Azam na Kagera Sugar wapangiwa vita kali mapema
  • Azam FC Yafunga Milango kwa Yanga na Simba Kumsajili Fei Toto
  • Meridian Leprechaun Wish Waleta Safari ya Kichawi Kutoka Ireland

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Rangers Dhidi Ya Jagiellonia Białystok Kukipiga Mchezo Wa Kufuzu Europa League
  • Yanga, Simba, Azam na Kagera Sugar wapangiwa vita kali mapema
  • Azam FC Yafunga Milango kwa Yanga na Simba Kumsajili Fei Toto
  • Meridian Leprechaun Wish Waleta Safari ya Kichawi Kutoka Ireland

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2024
  • June
  • 27

June 27, 2024

  • Sports

CHEZA KASINO SLOTI YA CRAZY TIME UPIGE MAMILIONI

Saleh2 years ago2 years ago02 mins

Sloti ya Crazy Time Ongeza mzuka wa utajiri kupitia sloti ya Crazy Time, moja kati ya mchezo wa kasino ya mtandaoni unaofanya poa sana, washindi wanapatikana kila siku tena kirahisi kabisa, Jisajili Meridianbet kasino uzungushe gurudumu la ushindi. Crazy Time ni mchezo wa kipekee kutoka studio za Evolution Gaming. Mchezo huu una dhamira ya kukamilisha…

Read More
  • Sports

MALIPO YA DUBE KUMALIZANA NA AZAM YAKWAMA NJIANI

Saleh2 years ago2 years ago01 mins

Taarifa zilizo thibitika ni kwamba Prince Dube amelipa kiasi cha $200,000 kwenda kwa Azam fc ili kuwa huru. Dube alifanya malipo hayo siku ya ijumaa jioni na kutuma vithibitisho vya malipo kwa uongozi wa Azam, uongozi wa Azam unakiri kupokea vithibitisho vya malipo hayo lakini mpaka sasa bado pesa hiyo haijafika kwenye akaunti ya Azam….

Read More
  • Sports

FIFA YAIONDOLEA YANGA ADHABU YA KUFUNGIWA KUSAJILI WACHEZAJI

Saleh2 years ago2 years ago01 mins

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Young Africans adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa mchezaji wao Lazarus Kambole. Awali mchezaji huyo raia wa Zambia alifungua kesi FIFA dhidi ya klabu hiyo ya Ligi Kuu ya NBC kwa kushindwa kumlipa ujira wake. Kambole alishinda kesi hiyo, na Young…

Read More
  • Sports

HII HAPA DROO YA HATUA YA 16 BORA EURO 2024

Saleh2 years ago01 mins

DROO YA HATUA YA 16 BORA #EURO2024 Uhispania ?? vs ?? Georgia Ujerumani ?? vs ?? Denmark Ureno ?? vs ?? Slovenia Ufaransa ?? vs ?? Ubelgiji Romania ?? vs ?? Uholanzi

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.