ZORAN MILOSEVIC CEO WA MERIDIANBET! LEO ANAFUNGUKA KILA KITU

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Meridianbet Zoran Milosevic, atakuwa mzungumzaji mkuu katika Siku ya Wawekezaji ya Senzal, moja ya jukwaa muhimu zaidi la wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa duniani. Tukio hili linafanyika leo Jumatano tarehe 26 Juni huko Belgrade nchini Serbia.

Jukwaa la Senzal hukusanya wawekezaji na wafanyabiashara, wataalamu wa fedha, na viongozi wa makampuni kama Meridianbet  ili kujadili mwenendo, hali ya sasa ya soko, na fursa za ukuaji kiuchumi katika ulimwengu wa masoko ya mitaji na uwekezaji.

Kama CEO wa kampuni ya kwanza kwa michezo ya ubashiri na kasino ya mtandaoni kuorodheshwa kwenye soko la hisa la NASDAQ, Zoran Milosevic ataweka wazi namna ambavyo alipata wazo la kuanzisha kampuni inayofanya vizuri kwa sasa duniani, changamoto na faida za kuingia kwenye soko la Hisa nchini Marekani, na mipango ya baadaye ya Meridianbet.

Meridianbet ni sehemu ya Kampuni ya Golden Matrix Group (GMGI), inatoa huduma ya michezo ya ubashiri na kasino mtandaoni katika nchi za Afrika ikiwemo Tanzania, na Ulaya, Kampuni hii imebeba ndoto za wengi katika ukuaji wa uchumi wa mtu na jamii kwa ujumla.

NB: Jisajili na Meridianbet, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz