HOT KENO KASINO, SHINDA MAMILIONI

Kasino imejaa utajiri! Moja ya michezo inayoweza kukupa hela kubwa leo, ni mchezo wa namba unaofanya vizuri madukani na kwenye kasino ya mtandaoni, mchezo huu wa kasino unaitwa Hot Keno. Jisajili hapa ili uwe Milionea kwa dau lako dogo tu.

Mchezo wa Hot Keno ni mchezo wa kasino ya mtandaoni wa Meridianbet uliotengenezwa na EGT Casino. Hot Keno unakupa nafasi ya kushinda mara 10,000 zaidi ya dau lako! Ni juu yako kuandaa mpangilio na mfuatano sahihi wa namba kumi za ushindi.

Hot Keno ni mchezo wa namba kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye sloti kibao utakukumbusha sinema za Kigiriki. Lazima utakua umeshawahi kukutana na mchezo huu kwenye maduka ya kubashiri.

Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni una jumla ya namba 80, ambapo namba 20 huchezwa. Lengo la mchezo ni kubashiri idadi kubwa ya namba zitakazotokea/zitakazochaguliwa kadri iwezekanavyo, hasa kubashiri namba zote.

Usijali kama hautofanikiwa kubashiri na namba zote, bado unaweza kushinda pesa kulingana na idadi ya namba ulizochagua kutokea. CHEZA HAPA

Jinsi ya Kucheza Hot Keno

Unachohitajika kufanya ni kuandaa mchanganyiko/mpangilio wa namba mbili hadi namba kumi na kuanza mchezo.

Chagua namba zako pendwa au angalia uchezeshaji wa awali na cheza kwa kubashiri namba ambazo unadhani zitatokea kwenye gurudumu la namba.

Ikiwa hauwezi kuamua, hiyo pia sio tatizo. Chagua mchanganyiko wa namba unazotaka kucheza, na kisha chagua kitufe cha uteuzi nasibu (random selection).

Bonasi ya Mchezo huu una bonasi ya kubashiri tu, na ni mchezo wa kubahatisha. Bonasi hii, unaweza kuongeza ushindi wako mara mbili. Unachohitaji ni kutabiri rangi ya karata inayofuata.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni, pia una nafasi ya kuongeza pesa zako kwa kubashiri michezo mingi kwa odds kubwa. Jisajili na cheza sasa.