
CHILUNDA NDO BASI TENA SIMBA
NYOTA wa Simba kwa msimu wa 2023/24 ambaye alikuwa ingizo jipya kwenye kikosi hicho ndo basi tena kwa msimu wa 2024/25 hatakuwa kwenye uzi wa nyekundu nyeupe. Ni Shaban Chilunda amekutana na Thank You kutoka kwa timu hiyo ambayo ipo kwenye maboresho kuelekea msimu mpya baada ya kugotea nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu Bara…