Uhispania wameanza EURO 2024 kwa ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya Croatia katika dimba la Olympiastadion (Berlin).Mabao ya Hispania yamefungwa na Morata 28’, Ruiz 32’, Carvajal 45+2’
HISPANIA WAMEANZA EURO 2024 KWA USHINDI MNONO WA 3-0 DHIDI YA CROATIA
