MERIDIANBET YAFIKA ZAHANI KIBAHA KUTOA MSAADA

Meridianbet magwiji wa michezo ya kubashiri wameiinua Kibaha na hiyo ni baada ya kufika eneo hilo na kutoa msaada wa katika Zahanati inayopatikana katika eneo hilo.

Kurudisha kwenye jamii yake ni utaratibu ambao Meridianbet wamekua nao kwa miaka na miaka na leo wameendeleza utaratibu huo ambapo wamefika Kibaha kwenye Zahanati ya Misugusugu na kurudisha tabasamu kwenye Zahanati hiyo.

Vifaa ambavyo vimeweza kutolewa leo ni pamoja mashuka, Vyandarua, pamoja na vifaa vingine vya usafi ambavyo kwa namna moja ama nyingine vitaweza kusaidia kwa kiwango kikubwa kwenye Zahanati hiyo.

Suka mkeka wako kwenye mchezo huu mkali wa fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya pamoja na michezo mingine itakayopigwa wikiendi hii. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Kaimu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka kampuni ya Meridianbet bwana Abubakar Kulindwa alipata wasaa wa kuzungumza baada kutoa msaada huo “Kwanza kabisa nipende kuwashukuru kwa mapokezi mliyotupatia hapa, Lakini pia ninayo furaha kufanya uwakilishi kwa taasisi yangu pendwa kwa kua sehemu hii ya historia ya kutoa msaada katika Zahanati ambao naamini umegusa utagusa miasha ya wengi”

Haikuishia hapo kwani Mganga wa Zahanati ya Misugusugu inayopatikana katika eneo la Kibaha bwana Nickson Matoh aliweza kutoa shukrani kwa ambacho kimefanywa na kampuni ya Meridianbet kuwakumbuka na kutoa msaada katika Zahanati hiyo.