Afisa Habari wa Bodi ya Ligi alifanya mahojiano na Global TV na kueleza kuwa mojawapo ya watu muhimu katika mchezo wa mpira wa miguu ni pamoja na wachambuzi wa mpira kwa maana wanaliangalia jambo kwenye namna tofauti.
BOIMANDA wa BODI ya LIGI – ”TUZO ni za WACHEZAJI BORA SIYO TUZO za WATANZANIA – VIDEO
