
Si Rahisi Kukosa Pesa Ukibashiri na Meridianbet Mechi za EURO
Mbilinge mbilinge za michuano ya EURO zimepamba moto haswa ambapo timu karibia zote zimejiandaa kunyakua taji hili ambalo linaanza kupambaniwa Ijumaa hii. Nani kuchukua kombe hili?. Tengeneza jamvi lako na Meridianbet sasa. TIMU ZINAZOPEWA NAFASI YA KUTWAA EURO 2024 Michuano ya EURO inatarajiwa kuanza Ijumaa hii hapa na ukiingia Meridianbet utakutana na “EURO 2024…