Jumamosi ya Leo Pesa Ipo Meridianbet

Utamu unaanza hii leo ukiaanza kubashiri na Meridinabet ambao ndio mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania. Unachagua kila ambacho unakitaka wewe. Pesa ipo wazi yaani. Usisubiri kuahadithiwa. Ligi kuu ya Hispania LALIGA kuna mechi za pesa kibao, majira ya saa 11:15 jioni Villarreal atakuwa mwenyeji wa Sevilla ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee….

Read More

AZAM FC: TUTAREJEA TUKIWA IMARA

NYOTA wa Azam FC, Feisal Salum amebainisha kuwa watarejea uwanjani wakiwa imara zaidi licha ya kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Simba. Ipo wazi kwamba kwenye Mzizima Dabi mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 9 2024 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Azam FC 0-3 Simba. Kiungo Fei Toto kwenye mchezo huo alikosa penalti baada…

Read More

KYLIAN MBAPPÉ ATHIBITISHA KUWA ATAONDOKA PSG

Mshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappé amethibitisha kuwa ataondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu. Mbappé amesema hayo kupitia picha jongeo kwenye mitandao ya kijamii ingawa hajabainisha ni wapi ataelekea. Paris Saint-Germain hawajamjumuisha Kylian Mbappe kwenye chapisho la mtandao wa kijamii wakitangaza jezi zao mpya hali inayoashiria kuwa nyota huyo raia wa Ufaransa hayupo kwenye mipango…

Read More

YANGA WANA BALAA HAO, SIRI HII HAPA

NDANI ya Ligi Kuu Bara Yanga ni baba lao kutokana na kasi yao ya kusaka matokeo kwenye mechi za Ligi Kuu Bara ikiwa inaongoza ligi baada ya kucheza jumla ya mechi ambazo wanacheza. Mchezo wao uliopita kwenye ligi ilikuwa dhidi ya Kagera Sugar ambao ni mzunguko wa pili ulichezwa Uwanja wa Azam Complex, baada ya…

Read More

SIMBA BADO NI ILEILE LICHA YA KUSHINDA MZIZIMA DABI

LICHA yakupata ushindi mechi tatu na sare moja bado Simba matatizo yake ni yaleyale lazima yafanyiwe kazi katika ulinzi na umaliziaji nafasi ambazo wanazitengeneza. Mechi mbili Simba imepata ushindi katika matukio ambayo yamekuwa na utata kama ilivyokuwa dhidi ya Tabora United kisha dhidi ya Azam FC bao ambalo lilikataliwa lingebadili mchezo Mzizima Dabi. Mchezo dhidi…

Read More

BACCA AMPA TANO GAMONDI

IBRAHIM Bacca beki wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kuwa benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi linafanya kazi kubwa kuwasoma wapinzani na kubadili mipango kwenye mchezo husika. Ipo wazi kuwa kwenye mchezo wa mzunguko wa pili dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Uwanja wa Azam Complex iliwabidi Yanga kusubiri…

Read More

MTIBWA SUGAR SIO KINYONGE YAFANYA KWELI

KUTOKA Morogoro, Mtibwa Sugar baada ya kucheza mechi 26 wamekusanya alama 20 msimu wa 2023/24 wakiwa nafasi ya 16. Zuber Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amebainisha kuwa watafanya kazi kubwa kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi ambazo watacheza. “Tuna kazi kubwa kwenye mechi zetu ambazo tunacheza kikubwa ni kutumia nafasi ambazo tunapata na…

Read More

Playson na Meridianbet Wazindua Promo ya Mil 200/=

Kimbunga Hiadaya kilikuja na madhara makubwa sana katika maeneo ya ukanda wa pwani hususani Lindi, lakini Kimbunga cha Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kinakuja na Utajiri. Shinda Sehemu ya Kitita cha Tuzo chenye thamani hadi Shilingi Milioni mia moja na thelathini na tisa. Jisajili na Meridianbet kushiriki kwenye shindano la Short Races.   Meridianbet wamezindua safari…

Read More

EUROPA NA CONFERENCE KUTOA MKWANJA LEO

Leo hii una nafasi ya kupiga mkwanja wa maana ukibashiri mechi zako na meridianbet. Machaguo zaidi ya 1000 na ODDS KUBWA zipo hapa. Unasubiri nini ingia sasa kwenye akaunti yako na usuke jamvi hapa. Atalanta chini ya Gasperini dhidi ya Olympique Marseille ambapo mechi ya kwanza walitoshana nguvu hivyo leo ni kama wanaanza upya. Atalanta…

Read More

HIZI HAPA MECHI ZA LAKRED NDANI YA SIMBA

KIPA wa Simba, Ayoub Lakred rekodi zinaonyesha kwamba ni mechi 14 ameanza langoni msimu wa 2023/24 akiwa na uzi wa timu hiyo yenye maskani Msimbazi. Kwenye mechi hizo amekomba dakika 1,260 akitunguliwa kwenye mechi 7 na hakutungiliwa kwenye mechi 7 pia ikiwa ni nusunusu ndani ya uwanja. Ipo wazi kwamba kikosi cha Simba ndani ya…

Read More