YANGA WANA BALAA HAO, SIRI HII HAPA

NDANI ya Ligi Kuu Bara Yanga ni baba lao kutokana na kasi yao ya kusaka matokeo kwenye mechi za Ligi Kuu Bara ikiwa inaongoza ligi baada ya kucheza jumla ya mechi ambazo wanacheza. Mchezo wao uliopita kwenye ligi ilikuwa dhidi ya Kagera Sugar ambao ni mzunguko wa pili ulichezwa Uwanja wa Azam Complex, baada ya…

Read More

SIMBA BADO NI ILEILE LICHA YA KUSHINDA MZIZIMA DABI

LICHA yakupata ushindi mechi tatu na sare moja bado Simba matatizo yake ni yaleyale lazima yafanyiwe kazi katika ulinzi na umaliziaji nafasi ambazo wanazitengeneza. Mechi mbili Simba imepata ushindi katika matukio ambayo yamekuwa na utata kama ilivyokuwa dhidi ya Tabora United kisha dhidi ya Azam FC bao ambalo lilikataliwa lingebadili mchezo Mzizima Dabi. Mchezo dhidi…

Read More

BACCA AMPA TANO GAMONDI

IBRAHIM Bacca beki wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kuwa benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi linafanya kazi kubwa kuwasoma wapinzani na kubadili mipango kwenye mchezo husika. Ipo wazi kuwa kwenye mchezo wa mzunguko wa pili dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Uwanja wa Azam Complex iliwabidi Yanga kusubiri…

Read More

MTIBWA SUGAR SIO KINYONGE YAFANYA KWELI

KUTOKA Morogoro, Mtibwa Sugar baada ya kucheza mechi 26 wamekusanya alama 20 msimu wa 2023/24 wakiwa nafasi ya 16. Zuber Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amebainisha kuwa watafanya kazi kubwa kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi ambazo watacheza. “Tuna kazi kubwa kwenye mechi zetu ambazo tunacheza kikubwa ni kutumia nafasi ambazo tunapata na…

Read More

Playson na Meridianbet Wazindua Promo ya Mil 200/=

Kimbunga Hiadaya kilikuja na madhara makubwa sana katika maeneo ya ukanda wa pwani hususani Lindi, lakini Kimbunga cha Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kinakuja na Utajiri. Shinda Sehemu ya Kitita cha Tuzo chenye thamani hadi Shilingi Milioni mia moja na thelathini na tisa. Jisajili na Meridianbet kushiriki kwenye shindano la Short Races.   Meridianbet wamezindua safari…

Read More