
YANGA YASEPA NA TATU ZA KAGERA SUGAR, MUDA KAFANYA YAKE
YANGA imesepa na pointi tatu za Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Bao pekee la ushindi limefungwa na kiungo mshambuliaji Mudathir Yahya dakika ya 83 akitumia pasi ya Aziz KI kiungo wa Yanga ambaye anafikisha pasi 8 za mabao. Yanga ni pointi 68 wanafikisha ndani ya ligi wakiwa…