SportsISHU YA MKANDAJI KIBU KUIBUKIA YANGA IPO HIVI Saleh7 months ago01 mins MWAMBA Kibu Dennis kiungo mshambuliaji wa Simba anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Yanga ambao wanahitaji saini yake ili kuongeza nguvu katika kikosi hicho kinachoongoza Ligi Kuu Bara. Post navigation Previous: IKIENDI YA KUOKOTA MAOKOTONext: YANGA NDANI YA KIGOMA KUWAKABILI MASHUJAA