SIMBA QUEENS WAPETA KARIAKOO DABI DHIDI YA YANGA
KATIKA Ligi ya Wanawake Simba Queens imepeta mbele ya Yanga Pricess kwenye Kariakoo Dabi ya Wanawake mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Yanga Princess 1-3 Yanga ambapo pointi tatu zimeelekea kwa Simba Queens. Dakika 45 za mwanzo hakukuwa na mbabe kwa timu zote ambapo ubao ulikuwa unasoma 0-0 mambo…