HAWA HAPA KWENYE VITA YAO NYINGINE KABISA
KUNA vita nyingine kubwa kwenye msako wa kiatu cha ufungaji bora ambapo kuna mwamba mmoja kutoka Yanga na mwingine kutoka Azam FC kila mmoja akiwa kwenye ubora wake katika mechi ambazo anacheza.
KUNA vita nyingine kubwa kwenye msako wa kiatu cha ufungaji bora ambapo kuna mwamba mmoja kutoka Yanga na mwingine kutoka Azam FC kila mmoja akiwa kwenye ubora wake katika mechi ambazo anacheza.
LICHA ya mazingira ya Uwanja wa Meja Isamuhyo kutokuwa rafiki kwa timu zote mbili ngoma imekuwa ngumu kwa wote wawili kugawana pointi mojamoja. Ubao umesoma JKT Tanzania 0-0 Yanga baada ya filimbi ya mwisho kwa mwamuzi kupigwa katika mchezo wa mzunguko wa pili. Ikumbukwe kwamba mzunguko wa kwanza JKT Tanzania walishuhudia ubao wa Uwanja wa…
Usiku wa leo zitapigwa mechi mbalimbali kwenye ligi tofauti tofauti barani ulaya ila kwa kiwango kikubwa macho yatakua pale Uingereza kwenye dimba la Goodson Park kwenye mchezo wa Derby ya Merseyside. Derby ya Merseyside imemua moja ya derby zenye mvuto mkubwa nchini Uingereza kila ambapo inakua inapigwa, Lakini leo itakwenda kua na mvuto wa tofauti…
SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Kombe la Muungano dhidi yaKVZ ambao unatarajiwa kuchezwa leo Aprili 24, Uwanja wa New Amaan Complex. Kikosi hicho kinatarajiwa kuwa na kazi dakika 90 kusaka matokeo ambapo kwenye mechi zake tano mfululizo kimekwama kupata ushindi. Matola amesema; “Tunatambua umuhimu wa mchezo wetu…
Je, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10? Ikiwa hujawahi, sasa unapata nafasi kamili ya kufanya hivyo. Kupitia Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna furaha inakusubiri kupitia droo moja tu ya ushindi. Taarifa za Msingi 420 Blaze It ni mchezo wa kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma 1×2 Gaming na una droo 10. Kila…
BEKI wa kazi ngumu Dickson Job tuzo ya beki bora inanukia kwake kwa mara nyingine tena kutokana na ushirikiano mkubwa uliopo katika timu hiyo. Mbali na Job ambaye ni mchezaji wa kwanza kufunga bao ndani ya Ligi Kuu Bara ilikuwa dhidi ya KMC kuna kitasa kingine kinaitwa Bacca kitampa ushindani mkubwa kujua nani atakuwa nani….
INATAJWA kwamba Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha huenda akasepa ndani ya timu hiyo kutokana na mwendo ambao upo kwa kushindwa kupata matokeo kwenye mechi za ushindani ambazo wanacheza hivi karibuni.
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ameweka wazi kuwa kuwa bora ndani ya uwanja ni kufuata maelekezo ya mwalimu. Fei amekuwa bora msimu wa 2023/24 akiwa na uzi wa Azam FC ni mabao 14 katupia ndani ya ligi akiwa namba moja kwa wazawa wenye mabao mengi. Nyota huyo bao la 14 alipachika kwenye mchezo…