
YANGA WABABE KARIAKOO DABI
MSIMU wa 2023/24 kwa watani wa jadi Yanga na Simba umegota mwisho huku Yanga wakiwa ni wababe ndani ya ligi nje ndani. Aprili 20 2024 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 2-1 Simba na ule mchezo wa mzunguko wa kwanza ilikuwa Simba 1-5 Yanga. Mchezo wa mzunguko wa kwanza ulichezwa Novemba 5 2023 Yanga…