Real Madrid imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Manchester City kwenye hatua ya robo fainali.
Arsenal pia imesukumizwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia kipigo cha jumla cha 3-2 dhidi ya Bayern Munich kwenye robo fainali.
FT: Man City ??????? 1-1 ?? Real Madrid (Agg. 4-4) (P 3-4)
MATUTA:
Manchester City: ✅❌❌✅✅
Real Madrid: ❌✅✅✅✅
Mabingwa watetezi wavuliwa ubingwa, Real Madrid itachuana na Bayern Munich kwenye nusu fainali.