
SIMBA NGOMA NGUMU MBELE YA IHEFU
NGOMA imekuwa ngumu kwa Simba kuambulia pointi tatu kama ilivyo kwa Ihefu ambao nao wamekwama kubaki na ushindi wakiwa nyumbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Liti umesoma Ihefu 1-1 Simba ambapo waligawana vipindi kile cha kwanza ilikuwa ni mali ya Ihefu na kipindi cha pili Simba….