
YANGA YAFUNGIWA NA FIFA KUFANYA USAJILI
SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limetoa taarifa kuwa Yanga imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu, (FIFA). Taarifa hiyo imeeleza kuwa uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya timu hiyo kukiuka Annexe 3 ya kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji, (RSTP) ya Shirikisho hilo. Pamoja na masuala mengine Yanga…