RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said ameweka wazi kuwa namna walivyojifunza kuhusu masuala ya umiliki wa Klabu kutoka La Liga na aina waliyochagua ili kuifanyia kazi kwa wakati huu. Mfumo huo ulipendekezwa na kamati ikiwa kwenye mpango kazi wa mabadiliko.