GAMONDI NA MTEGO WAKE KWA MZIZIMA DABI

MIGUEL Gamondi alianza na kiungo Mudathir Yahya kwenye benchi wakati ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Yanga 1-0 Geita Gold. Mchezo huo ulichezwa Uwanja Azam Complex kulikuwa na mabadiliko katika kikosi cha kwanza ikiwa ni maalumu kwa ajili ya kuwapa muda wachezaji wengine ambao hawakupata nafasi kucheza mechi zilizopita. Mtego kwa Azam FC ambao…

Read More

UKUTA WA SIMBA NGOMA NI NZITO

BAADA ya kucheza mechi 18 za Ligi Kuu Bara na kuruhusu mabao 18 benchi la ufundi la Simba limebainisha kuwa watafanyia kazi makosa yanayotokea kwenye mechi zao katika uwanja wa mazoezi. Ngoma ni nzito kwa ukuta wa Simba katika kutoruhusu mabao ya kufungwa kwenye mechi za ligi ambapo kwenye mechi tatu mfululizo imeshuhudia ikifungwa jumla…

Read More

SIMBA: LIGI INAKWENDA MWISHO KILA TIMU INAPAMBANA

SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa ligi inakwenda ukingoni jambo ambalo linaongeza nguvu kwa kila timu kupambana kupata matokeo. Timu hiyo kwenye mechi tatu zilizopita ilipata ushindi katika mechi mbili na kupoteza mchezo mmoja dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Jamhuri. Machi 15 2024 watakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu kwenye…

Read More

EUROPA Yaja na Mkwanja Mrefu Meridianbet

Leo wakubwa wote wapo dimbani kusaka tiketi ya kwenda hatua  ya Robo Fainali ya michuano ya EUROPA. Suka mkeka wako sasa na uweze kujiweka kwenye nafasi ya kuwa milionea leo hii. SL Benfica kutoka Ureno baada ya kulazimishwa sare mechi iliyopita akiwa nyumbani, leo hii atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Glasgow Rangers katika dimba…

Read More

TIMU ZILIZOFUZU ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imekamilika huku wababe 8 wa Ulaya wakitinga robo fainali. Atletico Madrid na Borussia Dortmund zimeungana na Real Madrid, Manchester City, Barcelona, Arsenal, Bayern Munich na PSG kwenye hatua hiyo kufuatia ushindi usiku wa kuamkia leo. Atletico Madrid imefikia hatua hiyo baada ya ushindi wa penalti 3-2…

Read More

ANAYEFUATA KUKUTANA NA YANGA KUKUTANA NA KITU KIZITO

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kasi ambayo wanaendelea nayo ndani ya Ligi Kuu Bara mpinzani wao anayefuata atakutana na kitu kizito kutokana na mipango waliyonayo. Ikumbukwe kwamba Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 49 kibindoni baada ya kucheza mechi 18Machi 14 inatarajiwa kusaka pointi tatu dhidi ya Geita Gold,Uwanja wa Azam Complex

Read More