SportsKIUNGO MGUMU WA KAZI AMEREJEA SIMBA Saleh9 months ago01 mins BAADA ya kutokuwa fiti kwa muda tayari hali ya kiungo mgumu ndani ya kikosi cha Simba, Sadio Kanoute, (Putin) amerejea kwenye ubora wake ikiwa ni suala la muda kujua lini atarejea uwanjani kutimiza majukumu yake kwa ushirikiano na wachezaji wenzake. Post navigation Previous: DIAMOND PLATNUMZ ATOA USHARI KWA VIJANA WENYE TAMAA NA MAISHANext: AZIZ KI ANAZIPA TABU NYAVU BONGO