Sikuku ya wanawake duniani imekua ni baraka kwa wakina Mama wanaojishughulisha na ujasiriamali mdogo katika soko la Mwananyamala, Ambapo kampuni ya Meridianbet iliwafikia na kutoa msaada katika eneo hilo.
Meridianbet walifanikiwa kufika eneo la Mwananyamala sokoni na kutoa msaada wa vyakula kwa kina Mama wanaofanya biashara katika soko hilo, Hii ni katika kuhakikisha wanathamini mchango wa Wanawake katika haswa katika sikukuu yao.
Lengo la Meridianbet ni kuhakikisha wanawafanya kina Mama kufarijika katika siku ya wanawake duniani, Lakini pia kuendeleza utamaduni wao wa kurudisha kwenye jamii yake ambayo inawazunguka.
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano kutoka Meridianbet Bi Nancy Ingram alipata nafasi ya kuzungumza katika tukio hilo”Binafsi ninayo furaha kubwa kuwepo hapa leo kutoa msaada huu na kiukweli nimefarijika sana kwani leo ni siku yenu,Hivo mnastahili kuifurahia na sisi kama Meridianbet tumehakikisha mnaifurahia siku hii muhimu kabisa kwenu”.
Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.
Hata hivo wakina Mama wanaojishughulisha na shughuli za ujasiriamali eneo hilo la Mwananyamala sokoni wameonesha kufurahishwa sana na kitendo ambacho kimefanywa na mabingwa wa michezo ya kubashiri, Ambapo wamesema taasisi nyingine zinapaswa kuiga mfano wa Meridianbet katika kurudisha kwenye jamii kwani sio mara ya kwanza taasisi hiyo inafika katika eneo hilo.