SHINDA TV, SMARTPHONE & BONASI 200,000/= TZS BETI ZA BURE UKICHEZA SUPER HELI KASINO

Kwa dau dogo kabisa la Tsh 100/= pale Meridianbet unaweza kushinda maokoto mengi, zawadi mbalimbali ikiwemo TV inch 55 mpyaa, Smartphone na Bonasi ya Kasino mpaka 200,000/= Beti za buure kucheza michezo ya kasino mtandaoni, na hii ni promosheni maalum ya mchezo mpya wa Kasinoya Mtandoni “Super Heli”.

Mtoa huduma wa michezo ya kasino ya mtandaoni kampuni ya Expanse Studios, wamekuletea kiganjani kwako kasino ya Super Heli kasino ikiwa na zawadi kibao ukicheza leo unaweza kuibuka na TV inch 55, Smartphone kibao, bonasi za kasino kibao, na beti za bure zenye thamani mpaka ya 200,000/= TZS.

Fahamu Zaidi Kuhusu Super Heli Kasino ya Mtandaoni.

Super Heli ni mchezo wa Kasino ya Mtandaoni wenye mengi ya kufurahisha na kuburudisha, muonekano wenye rangi nzuri, unakupa fursa ya kushinda kwa dau dogo kuanzia 100 TZS hadi 10000 TZS. JISAJILI MERIDIANBET kufurahia uhondo wa mchezo huu.

Mchanganuo wa Zawadi na Ushindi.

Super Heli mchezo wa kasino ya mtandaoni uliopo MERIDIANBET. Katika mchezo huu, utapata bonasi kubwa. Kuna malipo ya pesa taslimu papo hapo, na hata mizunguko ya bure.

Wakati unaanza kucheza mchezo huu utaweka dau lako, kisha unabonyeza kitufe cha kurusha Helikopta kisha itaanza kuhesabu ODDS, kadri inavyozidi kupaa ndiyo ambavyo unajiongezea maokoto mengi, ili kushinda kiwango kikubwa unatakiwa kucheza dau kubwa na kusubiri Odds ziwe nyingi na ukatishe safari yako.

Wachezaji bora wakati wa promosheni ya Super Heli watapokea zawadi zifuatazo kutoka Meridianbet:

Nafasi ya 1 – Samsung TV inchi 55.
Nafasi ya 2 – Samsung A24.
Nafasi ya 3 na ya 4 – TZS 200,000 beti za bure.
Nafasi ya 5-6 – TZS 100,000 beti za bure.
Nafasi ya 7-10 – TZS 50,000 beti za bure.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA

. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz