Kwapua Mpunga wa Jumapili na Meridianbet Leo]

  Mimi nakwambia kuwa anza Jumapili yako kwa kubashiri na meridianbet ambapo leo hii ligi mbalimbali zinaendelea na wewe una nafasi ya kupiga mkwanja wa maana kwa kubashiri kwa usahihi mechi zako. SERIE A, kitawaka sana leo ambapo Frosinone atakipiga dhidi ya US Lecce huku timu zote zikiwa zimetoka kupoteza mechi zao zilizopita. 2.30 kwa…

Read More

MTIBWA SUGAR WAIVURUGIA SINGIDA FOUNTAIN GATE

MTIBWA Sugar wamesepa na point8 tatu mazima dhidi ya Singida Fountain Gate, ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Singida Fountain Gate 0-2 Mtibwa Sugar. Ushindi wa Mtibwa Sugar umevuruga mipango ya Singida Fountain Gate kukomba pointi tatu kwenye mchezo huo. Abdul Hilary dakika ya 70 kwa mkwaju wa penàlti na Omary Marungu dakika ya…

Read More

MILIONI TANO YAPATA MWENYEWE MERIDIANBET

Bashiri na kitochi au bashiri bila bando na Meridianbet ikifahamika kama USSD leo imefanikiwa kutoa mshindi ambaye amejishindia mzigo wa kutosha ambapo mshindi amejipigia kiasi cha shilingi 5,982,539.  Inafahamika kua Meridianbet inatoa fursa kwa wateja wake kubashiri kwa bando kwa maana ya kwenye tovuti yao lakini pia unaweza kubashiri bila bando na ndio USSD ambapo…

Read More

YANGA NDANI YA JIJI LA DAR

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga a kimataifa Yanga wapo ndani ya ardhi ya Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya mechi zao zinazofuata kimataifa na kitaifa. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi imetinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa na pointi 8 kibindoni. Mchezo wao wa mwisho hatua ya makundi ilipoteza pointi…

Read More