BETI YAKO UNAIWEKA WAPI LEO KATI YA NIGERIA DHIDI YA IVORY COAST?
Joto la fainali ya AFCON kule nchini Ivory Coast mwisho wake ni leo ambapo Nigeria atakipiga dhidi za Ivory Coast majira za saa 5:00 usiku huku kila mtu akiisubiria kwa hamu mechi hiyo baada za michuano hii kunoga zaidi kwani upinzani ulikuwa mkubwa sana. Huku Nigeria na kule ni Ivory Coast siku ya leo Fainali…