
YANGA NI KAZI JUU YA KAZI
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga ni kazi juu kazi ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na mechi zao kuwa bandika bandua. Ikumbukwe kwamba Yanga chini ya Miguel Gamondi ambaye ni kocha mkuu ina kazi ya kutetea taji la ligi baada ya kutwaa 2022/23. Inaendelea kupambania pointi tatu ndani ya ligi kwa Februari ilipofungulia…