SportsJEMBE JIPYA YANGA LAWATAJA AZIZ KI NA PACOME Saleh11 months ago01 mins JOSEPH Guede mshambuliaji mpya wa Yanga ameweka wazi kuwa uwepo wa viungo ndani ya kikosi hicho ikiwa ni pamoja na Aziz KI, Pacome kunampa nguvu ya kuamini kwamba atafunga mabao mengi kwenye mechi za ushindani kitaifa na kimataifa. Post navigation Previous: HUYU HAPA MRITHI WA MIKOBA YA KLOPP LIVERPOOLNext: MABINGWA WATETEZI SENEGAL WAMEUMALIZA MWENDO