SIMBA KUREJEA KAZINI

KIKOSI cha Simba leo Januari 25 kinatarajiwa kurejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mechi zijazo za kitaifa na kimataifa. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu,Abdelhak Benchikha ilitoka kushiriki Mapinduzi 2024. Kwenye mashindano hayo iliishia nafasi ya pili na bingwa akiwa ni Mlandege. Januari 13 2024 ilikuwa ni fainali na ubao ulisoma Mlandege 1-0 Simba….

Read More

YANGA NI MWENDO WA KAZIKAZI

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa watafanya kazi kubwa kwenye mechi za kitaifa na kimataifa malengo ikiwa ni kufanya vizuri kutokana na uimara wa wachezaji wao. Yanga kwenye dirisha dogo la usajili ilitambulisha wachezaji wapya watatu ambao ni Agustino Okra, Shekhan Ibrahim na Joseph Guede.  Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kwenye kila mashindano ambayo…

Read More

KOCHA STARS: TUMEJIFUNZA MENGI AFCON

JUMA Mgunda, kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania amesema kuwa wamejifunza mengi baada ya kugotea hatua ya makundi katika Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON). Katika mechi tatu Stars ilipoteza mchezo mmoja dhidi ya Morocco inayoongoza kundi F ikiambulia Sare mbili dhidi ya Zambia 1-1 Tanzania na Tanzania 0-0 DR Congo mchezo uliochezwa usiku…

Read More