KUACHWA kwa nyota wawili Simba waliokuwa na kazi kubwa katika kutimiza majukumu yao ikiwa ni mshambuliaji Jean Baleke aliyetupia mabao 8 na Moses Phiri aliyetupia mabao matatukwenye ligi, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, AhmedAlly amebainisha kuwa wale wanaokuja wana uwezo mkubwa na watafanya kazi kubwa.