SLOTI YA WILD SPIN KASINO CHOTA MIBONASI

Kila mtu amekuwa akiwa kupambana na maisha, vijana wengi wanawake kwa wanaume wako busy na harakati za mjini, kuna wengine ni wazee wa mishemishe yote kwa yote ili mkono uende kinywani. Sasa ngoja nikusogezee chimbo moja wapo linaloweza kukupatia mkwanja kila muda unapohitaji, ni ulimwengu maridhawa wa kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet. Kwenye ulimwengu huo…

Read More

KAZI IFANYIKE KWELI KATIKA NAFASI ZINAZOPATIKANA

INAPOPATIKANA nafasi uwanjani ni muhimu kwa wachezaji kuitumia kwa umakini. Wapo wale ambao walishindwa kuonyesha uimara kila walipopata nafasi mwisho wakapoteza kila kitu. Maisha ya mpira ni nafasi ya kucheza inapokosekana ni muhimu kwa wachezaji kuitafuta kwa kufanyia tathimini kile ambacho kinawafanya wawe benchi, hivyo tu. Tunaona kwenye mechi za Mapinduzi 2024 kuna wachezaji waliopata…

Read More

NI MUDA WA KUSHIRIKI NA SIO KUSINDIKIZA

TAYARI wachezaji na benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wamewasili nchini Ivory Coast kwa ajili ya kushiriki AFCON 2023, hii ni kubwa sana na inapaswa kuchukuliwa kwa ukubwa. Hapa unaona kwamba kabla ya kuibukia Ivory Coast walicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Misri na ilikuwa mechi…

Read More

ALI KAMWE: TUTAREJEA TUKIWA IMARA

OFISA Habari wa Yanga, Ali Kamwe ameweka wazi kuwa wanaamini kwamba watarejea kwenye mashindano ya Mapinduzi wakati mwingine wakiwa imara baada ya kupoteza nafasi ya kutwaa taji hilo 2024. Ipo wazi kwamba Yanga iliondolewa katika hatua ya robo fainali na APR kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali na wamerejea Bongo kwa maandalizi ya mechi…

Read More