SIMBA YASHUSHA JEMBE JINGINE

RASMI Januari 6 2024 Simba imemtambulisha nyota mwingine mpya ambaye ni kiungo katika eneo la ukabaji. Nyota huyo ni kutoka Senegal anaitwa Babacar Sarr ametua ndani ya Simba ikiwa ni ingizo jipya katika dirisha dogo. Anakuwa nyota wa pili kutambulishwa baada ya kiungo Saleh Karabaka kutoka JKU kuwa wa kwanza kutambulishwa katika dirisha dogo ilikuwa…

Read More

WACHEZAJI MUHIMU KUCHEZA KWA UMAKINI

WAKATI uliopo kwa sasa kwa timu shiriki kwenye Kombe la Mapinduzi 2024 ni kuendelea kutimiza majukumu yao wanayopewa. Ipo wazi kwamba kila timu inapenda kupata matokeo ndani ya dakika 90. Hakuna ambaye anapenda kuona kwamba timu inakosa matokeo hivyo jambo la muhimu ni kufanya kazi kwa umakini kwenye mechi zote. Wachezaji ni muhimu kuongeza umakini…

Read More

ANAKUJA MSHAMBULIAJI HUYU WA KAZI YANGA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa utaratibu wao ni uleule kwenye kuleta wachezaji wapya na watafanya utambulisho wa tofauti. Inatajwa kuwa kwa sasa Yanga ipo kwenye hesabu za kumalizana na mchezaji kwenye nafasi ya ushambuliaji kwa ajili ya kuanza changamoto mpya ndani ya kikosi hicho ambacho kimetinga hatua ya robo fainali Mapinduzi 2024.

Read More

RATIBA YA KOMBE LA MAPINDUZI 2024

MLANDEGE ambao ni mabingwa watetezi wa Mapinduzi 2024 wameendelea kuwa kwenye zali baada ya kutinga hatua ya robo fainali. Kwa Simba, Yanga, Azam FC na Singida Fountain Gate nazo zmefanikiwa kutinga hatua hiyo ambapo kwa 2023 Simba iliaga mashindano mapema kabisa. Ratiba ipo namna hii:- KVZ FC Vs Mlandege FC, Januari 7, saa 10:15 jioni…

Read More

AZAM YAACHANA NA MSHAMBULIAJI IDRIS MBOMBO

Klabu ya Azam FC imetangaza kuachana na mshambuliaji Idris Mbombo (27) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Taarifa ya Azam FC kwenye mitandao ya kijamii imesema “Thank You Idris Mbombo”. Mbombo alijiunga na Azam FC mnamo Julai 31 2021 akitokea El Gouna FC ya Misri. Tetesi zinadai Mkongomani huyo amejiunga na klabu ya Nkana…

Read More