MECHI DUME CITY NA ARSENAL INAPIGWA LEO

MECHI dume kabisa, mechi ya kibabe na mechi ya kibingwa inapigwa leo pale Dimba la Etihad, wana wanakwambia mshindi wa leo anaasilimia kubwa ya kuwa bingwa wa Premier League msimu huu. Leo Jumatano Manchester City chini ya Kocha Pep Guardiola itaikaribisha Arsenal kwenye Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya England ambao unatarajia…

Read More

HAALAND YUKO NJIANI KUTENGENEZA REKODI YAKE

MSHAMBULIAJI wa Manchester City Erling Haaland yuko njiani kutengeneza rekodi zake binafsi bora zaidi katika historia ya Premier League. Haaland ana umri wa miaka 22 tu na tayari amezoea ligi na nchi mpya kwa haraka sana sasa anafurahia msimu wake wa kwanza bora akiwa na Man City chini ya Kocha Pep Guardiola. Man City bado…

Read More

Kasino ya Mtandaoni Inakupa Mkwanja kwa Njia Hizi

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakupa ushindi kirahisi kupitia sloti ya Titan Dice ambayo ni moja ya michezo inayotoa hela ndefu kirahisi. Michezo ya Dice (kete) imekuwepo kwa muda mrefu kihistoria, mchezo huu ulianzia China ambapo waandaaji wa kisasa, Expanse Studios wametengeneza sloti ya Titan Dice kukumbusha uzuri wa mchezo huu. Kasino ya Mtandaoni ya…

Read More

MWAMBA WA LUSAKA ANAJITAFUTA

CLATOUS Chama ni namba moja kwenye kutengeneza pasi za mwisho kwenye ligi akiwa nazo 14 kibindoni na ametupia mabao matatu kwenye nyavu za wapinzani bado anajitafuta kwa sasa. Kwenye msimamo Simba ipo nafasi ya pili na vinara ni watani zao wa jadi Yanga. Ngoma ni nzito kwenye kufunga na kutoa pasi za mwisho kwenye mzunguko…

Read More

BALEKE, MAYELE WAINGIA KWENYE VITA HII NGUMU

MITAMBO ya mabao kwenye timu zenye ngome pale Kariakoo, Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira na Yanga inayonolewa na Nasreddine Nabi wameingia kwenye vita nyingine kimataifa. Ni ile ya kupambania timu zao kutinga hatua ya nusu fainali kwenye mashindano ya kimataifa ambayo wanashiriki kwa kukamilisha dakika 90 za ushindi kwenye mechi za robo fainali….

Read More

AZAM FC YAIPIGA MKWARA SIMBA

KALI Ongala, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni mchezo wao wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Simba. Taji hilo la Kombe la Azam Sports Federation mabingwa watetezi ni Yanga ambao nao wametinga hatua ya nusu fainali. Itacheza na Singida Big Stars Uwanja wa Liti na mshindi wa mchezo…

Read More

KAZI BADO IPO KWENYE LIGI, HAKUNA KUKATA TAMAA

KUKATA tamaa kwenye mechi za mzunguko wa pili kwa wachezaji wa timu ambazo zimekwama kupata matokeo mazuri kwenye mechi zao iwe ni mwiko. Bado kuna kazi ya kufanya na kwenye mpira lolote linaweza kutokea kutokana na namna ambavyo timu zitajipanga kwa umakini licha ya kwamba Yanga inaongoza haina maana kwamba ligi imeshagota mwisho. Tunaona mzunguko…

Read More

YANGA HAWATAKI UTANI, KAZI IMEANZA MAPEMA

BAADA ya Yanga kukamilisha kete ya kwanza ugenini, wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika wamerejea Bongo. Kwenye mchezo huo uliochezwa nchini Nigeria baada ya dakika 90 ubao ulisoma Rivers United 0-2 Yanga na mabao yote yakifungwa na Fiston Mayele. Tayari kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kimerejea…

Read More

SIMBA HESABU ZAO KWA WYDAD

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa robo fainali ya pili dhidi ya Wydad Casablanca. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mohamed V, nchini Morocco baada ya robo fainali ya kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-0 Wydad Casablanca. Ni Ijumaa ya…

Read More

KIPA SIMBA AWEKA REKODI YAKE MATATA

ALLY Salim kipa namba tatu wa Simba ameonesha uimara wake akiwa langoni ndani ya dakika 270 kwa kuyeyusha dakika zote hizo bila kutunguliwa hata walipokutana na watani zao wa jadi Yanga. Nyota huyo alipewa mikoba ya kipa namba moja wa Simba Aishi Manula na ile ya kipa namba mbili Beno Kakolanya kwenye mechi tatu mfululizo….

Read More