KOCHA SIMBA AANZA KAZI ZANZIBAR
MASSOUD Djuma raia wa Burundi ameanza rasmi kazi ndani ya Klabu ya KMKM ya Zanzibar kwa ajili ya kuinoa timu hiyo kwa msimu wa 2023/24. Djuma aliwahi kuifundisha Simba inayoshiriki ligi ya Tanzania pia aliwahi kuifundisha Dodoma Jiji kwa sasa yupo ndani ya KMKM akichukua mikoba ya Hemed Morocco ambapo timu hiyo inashiriki mashindano ya…