KOCHA PSG KUBWAGA MANYANGA KISA HIKI HAPA
KOCHA mkuu mpya wa PSG, Luis Enrique anafikiria kujiuzulu nafasi yake baada ya mwezi mmoja tu, katika kazi hiyo huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni machafuko ambayo yanaendelea katika klabu hiyo hususani sakata la staa wa timu hiyo, Kylian Mbappe. Ripoti kutoka nchini Hispania zinaeleza kuwa, Enrique ambaye aliteuliwa kuwa kocha mkuu wa PSG mwanzoni…