
BALEKE, NTIBANZOKIZA KUKUTANA NA BALAA HILI SIMBA
MASTAA wa Simba kwenye upande wa ushambuliaji ikiwa ni Jean Baleke, John Bocco na viungo Saido Ntibanzokiza watakutana na balaa la Kocha Mkuu, Abdlehak Benchikha kutokana na kushindwa kuzitumia nafasi ambazo walizipata kwenye mechi dhidi ya KMC. Desemba 23 ikiwa ni mchezo wa mwisho kwa Simba ndani ya 2023 katika Ligi Kuu Bara walishuhudia ubao…