SIMBA YATAMBIA HIKI KUWAKABILI ASEC

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utawaonyesha nguvu ya mashabiki wapinzani wao ASEC Mimosas kwa vitendo kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo. Novemba 25 Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Mkapa wakiwa na tuzo ya mashabiki bora wa African Fotball League.  Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano…

Read More

BOSI YANGA ANUNUA KESI YA WAARABU WA SIMBA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu katika Ligi ya Mabingwa Afrika ni kupata pointi tatu kwenye kila mchezo ikiwa ni pamoja na Waarabu wa Misri, Al Ahly. Ikumbukwe kwamba Al Ahly waliwafungashia virago Simba kwenye African Footbal League kwa faida ya mabao ya nyumbani baada ya mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao kusoma Simba…

Read More

STARS YAPETA, MTUPIAJI AFUNGUKA

UKIWA ni mchezo wa ugenini kwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Novemba 18 ilifanikiwa kupeta na kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Niger katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali ya Kombe la Dunia 2026. Bao pekee la mchezo huo wa kwanza kuwania kufuzu Kombe la Dunia limefungwa na Charles M’mombwa dakiak…

Read More

CHAMA MAMBO BADO MAGUMU KWAKE

MWAMBA wa Lusaka, Clatous Chama mkali wa pasi za mwisho mambo bado ni magumu kwakwe kwa kushindwa kufurukuta kwenye mechi za hivi karibuni. Ikumbukwe kwamba Oktoba 5 2023 ilikuwa ni mara ya mwisho kwa staa huyo wa Simba raia wa Zambia kufunga ndani ya ligi kwa msimu wa 2023/24. Alifunga bao hilo kwenye mchezo wa…

Read More

KAZI KUBWA IFANYIKE KWA KILA MMOJA

KAZI kubwa inafanyika kwa kila mmoja kuendelea na mapambano kusaka ushindi ndani ya uwanja. Muda ni sasa kuonyesha kwamba inawezekana kupata matokeo ugenini. Benchi la ufundi tunaamini kwamba walipata muda wa kutosha kuzungumza na wachezaji. Sio kuzungumza pekee maneno ya kirafiki bali maneno ya kazi kuendelea kwa kila mmoja kutimiza majukumu yake. Ukweli ni kwamba…

Read More

ISHU YA KOCHA WA VIUNGO SIMBA BOSI AFUNGUKA

WAKATI tetesi zikieleza kuwa jina la Adel Zraine aliyewahi kuwa kocha wa viungo wa Simba lipo mezani, bosi ndani ya timu hiyo kafunguka kuhusu kurejea kwake kuanza kazoo majukumu mapya. Ikumbukwe kwamba nafasi ya kocha wa viungo ipo wazi baada ya aliyeanza na timu msimu wa 2023/23 Corneille Hategekimana aliyesitishiwa mkataba wake Novemba 7. Mbali…

Read More

TAIFA STARS KAMILI KUWAKABILI NIGER

LEO Novemba 18 2023 timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakuwa na mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa jijini Marrakech, Morocco ambapo wachezaji wa Stars Novemba 17 walifanya mazoezi katika mji huo Uwanja wa Marrakech Annex One. Adel Amrouche Kocha Mkuu wa Stars amesema wapo tayari…

Read More

AUCHO YAMEMKUTA HUKO

TIMU ya taifa ya Uganda kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 imeanza kwa kupoteza mchezo wa kwanza wa kundi G dhidi ya Guinea kwa mabao 2-1. Kiongozi wao ni nahodha Khalid Aucho anayeikipiga ndani ya kikosi cha Yanga, Uganda iliokota bao la dakika za jioni likifungwa na Seydouba Cisse katika dakika za nyongeza…

Read More

YANGA YAPENYA TANO CAF TIMU BORA

KLABU ya Yanga imetinga hatua ya tano bora kuwania tuzo ya klabu bora kwa wanaume kutoka CAF kwa mwaka 2023. Ikumbukwe kwamba Yanga kwenye Kombe la Shirikisho Afrika 2022/23 waligotea nafasi ya pili na katika ligi ya ndani walitwaa taji la Ligi Kuu Bara. Zama hizo ilikuwa inanolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi na kwa…

Read More

TAIFA STARS KAMILI KUWAKABILI NIGER

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars Adel Amrouche ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger. Stars itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi huo na imewasili salama Morocco kwa ajili ya mchezo huo kwa ndege iliyotolewa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu. Maandalizi yameanza…

Read More

YANGA WAVAMIA ALGERIA LIGI YA MABINGWA

MABOSI wa Yanga, juzi walisafiri kuelekea nchini Algeria, kwa ajili ya kuwaangalia wapinzani wao CR Belouizdad waliongozana na mchambuzi wa video, Khalil Ben Youssef. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana Novemba 24, mwaka huu katika mchezo wa Kundi D wa Ligi ya Mabingwa Afrika, utakaopigwa nchini Algeria. Yanga imepania kufanya vema katika michuano hiyo ya kimataifa msimu…

Read More

AZIZ KI MASTA ANA BALAA HUYO TATU BORA

AZIZ KI kiungo wa Yanga ni kiboko yao kwa makipa wote namba moja ndani ya timu zilizo tatu bora kwa kuwa kawatungua kwenye mechi za ligi walipokutana. Nyota huyo katupia jumla ya mabao saba kibindoni akiwa na pasi moja ya bao kwa msimu wa 2023/24 ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Kwenye…

Read More