WACHEZAJI ONYESHENI MAKALI UWANJANI

HAKUNA anayependa kuona anakosa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza kwenye mechi ambazo timu yake itakuwa inacheza ndani ya uwanja. Imekuwa kawaida kwa wachezaji wanaopewa nafasi kutoonyesha utofauti wao na yule ambaye anakuwa asungua benchi jambo ambalo linapaswa kuwa tofauti. Sababu kubwa ya wachezaji kuwekwa benchi ni kushindwa kwenda na mpango kazi wa benchi la…

Read More

ZAIDI YA WATANZANIA 142 WAMENUFAIKA NA AJIRA KUPITIA MERIDIANBET TANZANIA

ZAIDI ya watanzania 142 wamenufaika na ajira kupitia Meridianbet Tanzania, ikiwa ni moja ya ndoto ya kampuni hiyo inayotoa huduma za michezo ya kubashiri mtandaoni. Akizungumza katika uzinduzi wa duka la Meridianbet lililopo Mtaa wa Tandika Majaribio, Temeke, Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Tanzania, Matina Nkurlu, alisema kuwa kama…

Read More

CEO MPYA WA SIMBA HUYU HAPA

NI imani Kajula ametangazwa kuwa Mtendaji Mkuu mpya wa Simba SC akichukua nafasi ya Barbra Gonzalez ambaye alitangaza kujiuzulu kwenye nafasi hiyo. Mtendaji huyo mpya ameweka wazi kuwa anafurahi kujiunga na timu hiyo kwenye nafasi hiyo. Aidha amesema yeye ni shabiki na mwanachama wa timu hiyo kwa muda mrefu. “Mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba…

Read More

WAKALI WA KUTUPIA HAT TRICK, KAFUNGUA 2023

MASTAA wanne ndani ya Ligi Kuu Bara wametupia hat trick ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Nyota wa kwanza kufanya hivyo ni Fiston Mayele wa Yanga ambaye alifunga mbele ya Singida Big Stars. Ni Novemba 17,2022 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 4-1Singida Big Stars ambapo bao la Singida Big Stars lilipachikwa…

Read More

SINGIDA BS YAISHTUKIA YANGA KWA GOMES

MABOSI wa Singida Big Stars kwa sasa jicho lao ni kwa wachezaji wao wote wanaofanya vizuri ili wawaongezee dili jipya na miongoni mwa nyota anayetazamwa kwa ukaribu ni Bruno Gomez. Gomez raia wa Brazil ni mtambo wa mabao akiwa nayo nane huku akizitungua timu 7, anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa mitaa ya Kariakoo,…

Read More

MBRAZILI SIMBA AMPA BALEKE SAA 48

KIKOSI cha Simba jana Jumanne kilirejea kambini baada ya mapumziko ya siku moja, huku Kocha Mkuu Mbrazili, Robert Olvieira ‘Robertinho’ akitenga programu ya siku mbili sawa na saa 48, kwa mastaa wote akiwemo straika Jean Baleke. Lengo ni kuhakikisha Simba wanaibuka na ushindi dhidi ya Coastal Union na kukata tiketi ya kucheza robo fainali ya…

Read More

FEI TOTO AMPASUA KICHWA NABI YANGA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameibuka na kuvunja ukimya kwa kukosekana kwa baadhi ya wachezaji wake muhimu akiwemo kiungo Feisal Salumu ‘Fei Toto’ kumesababisha kumpa wakati mgumu wa kupata matokeo katika michezo yao. Nabi ametoa kauli hiyo kufuatia Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo uliopigwa juzi Jumatatu…

Read More

CHAMA ANAIWAHI COASTAL UNION

CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba kuna asilimia kubwa akaibuka kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union ambao ni wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Januari 28, Uwanja wa Mkapa, Dar. Chama hakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichoshuhudia ubao wa Uwanja wa Jamhuri ukisoma Dodoma Jiji 0-1 Simba kwa bao la Jean Baleke kwa kile…

Read More

KIUNGO AKUBALI YAISHE YANGA AVUNJA MKATABA, ATIMKA

MARA baada ya kufikia makubaliano mazuri ya kuvunja mkataba na timu yake ya Yanga, kiungo Mrundi Gael Bigirimana amekubali yaishe na juzi Jumatatu mchana alipanda ndege kurejea nyumbani kwao Burundi. Hiyo ni baada ya kufikia makubaliano mazuri ya pande mbili mchezaji na timu yake ya zamani ya Yanga iliyokubali kumlipa Sh 700Mil kwa awamu tatu….

Read More

MANGUNGU AZUNGUMZIA USHIRIKIANO NA MIPANGO KAZI

MURTANZA Mangungu, Mwenyekiti wa Simba ambaye anatetea kiti hicho kwa mara nyingine amesema kuwa hata kama akishindwa atabaki kushirikiana na Simba kwa kuwa ni mwanachama wa timu hiyo. Januari 29,2023 Simba wanatarajia kufanya uchaguzi na mkutano mkuu ambapo kwa sasa kampeni zinaendelea. Mangungu amesema kuwa anatambua kwenye ushindani kuna kushinda na kushindwa lakini yeye hana…

Read More

NAMUNGO YAMPA TABU KIPA WA KMC

ENEO ambalo KMC wanapaswa kuboresha na kuongeza nguvu kwa mzunguko huu wa pili ni ulinzi ikiwa ni beki na mlinda mlango. Kipa wao namba moja David Kissu amekuwa akifanya makosa mengi yakizembe akiwa langoni hasa kutokana na maamuzi yake yanayoigharimu timu. Alipata tabu akiwa langoni kutokana na kutunguliwa mabao akiwa langoni. Anaingia kwenye orodha ya…

Read More