SIMBA YACHEZEWA MPIRA NA KUCHAPWA KWA MKAPA

MCHEZO wake wa kwanza ikiwa Uwanja wa Mkapa kwenye anga za kimataifa kwa mwaka 2023 inapoteza. Ni kipigo kinachovunja rekodi yake tamu ya kutofungwa ikiwa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 kusoma Simba 0-3 Raja Casablanca. Kipindi cha kwanza Raja Casablanca walianza kwa utulivu mkubwa na walipata bao moja la kuongoza huku Simba wakikosa…

Read More

HAKUNA MWENYE KAZI NYEPESI KIMATAIFA

HAKUNA mwenye unafuu kwa sasa sio Simba wala Yanga kwenye anga za kimataifa kutokana na mechi zao wote kuwa ngumu. Kwa mashabiki wakati huu lazima kuungana na kufanya kazi moja kushangalia timu zao huku wachezaji nao akili zao zikiwa kwenye mechi uwanjani. Dakika 90 ni za jasho kubwa kutokana na umuhimu wa pointi tatu kwa…

Read More

YANGA YAWAITA MASHABIKI KUHUSHUDIA MABAO KIMATAIFA

KUELEKEA kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya Makundi kesho Februari 19,2023 uongozi wa Yanga umewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo huo wa kimataifa wa pili wakiwa wametoka kupata maumivu kwenye mchezo wa kwanza ugenini. Ni US Monastir 2-0 Yanga…

Read More

MAJEMBE HAYA YA KAZI KAMILI SIMBA KUIVAA HOROYA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kilakitu kinakwenda sawa na wachezaji wote wapo tayari. “Wachezaji wetu ambao tuliwakosa kwenye mchezo uliopita dhidi ya…

Read More

WINGA TP MAZEMBE AIPENYEZEA YANGA SIRI ZA USHINDI

WINGA wa zamani wa Yanga na TP Mazembe, Chiko Ushindi Wakubanza, amesema kama Yanga watapambana zaidi na kucheza kwa moyo mmoja, basi watapata matokeo mazuri mbele ya TP Mazembe, huku akibainisha kwamba. Ushindi ambaye aliitumikia Yanga msimu uliopita kwa mkopo akitokea TP Mazembe, kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Don Bosco ya nchini DR Congo…

Read More

CAF AFICANSCHOOLS FOOTBALL LEO NI LEO CHAMAZI

MASHINDANO ya vijana wa shule za Afrika Mashariki (CECAFA) yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi rasmi leo Ijumaa katika Uwanja wa Azama Complex Chamanzi. Mashindano hayo ambayo yanatarajiwa kufanyika kwa siku tatu yanashirikisha jumla ya nchi nane kutoka Afrika mashariki na kati huku Tanzania akiwa ndio mwenyeji wa michuano hiyo. Hizi ni mechi za Kanda za kufuzu…

Read More