
GAMONDI AENDELEZA UBABE BONGO
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameendeleza ubabe wake kwa kushuhudia wachezaji wake wakiibuka na ushindi wa mabao 4-1 Mtibwa Sugar. Kwenye mchezo uliochezwa Desemba 16 Uwanja wa Azam Complex, Yanga walipeta na kukomba pointi tatu mbele ya Mtibwa Sugar wakiendeleza ubabe wao kwenye ligi. Mabao ya Yanga yalifungwa na Aziz KI ambaye alifunga mabao…