
YANGA 3-0 MEDEAMA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
BAADA ya dakika 90 kuukamilika, Yanga imeshinda mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Medeama wakiwa nyumbani. Ni mabao 3-0 Yanga wameshinda baada ya Pacome kufungua ukurasa wa mabao kipindi cha kwanza na Bakari Mwamnyeto na Mudathir Yahya kufunga kwenye mchezo wa leo kipindi cha pili. Kipindi cha kwanza kwenye mchezo…