SportsNYOTA SIMBA AGOMEA MKATABA Saleh12 months ago01 mins AMEIGOMEA Simba kusaini mkataba wa mwaka mmoja ambapo inaelezwa kuwa anahitaji kupewa mkataba wa miaka miwili ili asalie hapo huku akiwa anatajwa kuwindwa na timu nyingine ambazo zinahitaji saini yake. Post navigation Previous: MGHANA WA SIMBA KUTAMBULISHWA YANGANext: UKURASA MPYA UFUNGULIWE KWA HESABU MPYA