SportsUKIZUBAA HUNA CHAKO TATU BORA/ YANGA YAZICHAPA ZOTE Saleh12 months ago01 mins NDANI ya Ligi Kuu Bara, tatu bora inakwenda kufunga 2023 ikiwa ni Azam FC, Yanga na Simba ikigotea namba tatu kwa sasa. Ni Yanga imewachapa wote walipokutana kwa timu ambazo zipo ndani ya tatu bora kwa msimu wa 2023/24 Post navigation Previous: YANGA KUMSHUSHA MGHANANext: REBECCA REFA MWENYE REKODI YAKE EPL